Psalms 76:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtimizieni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu ahadi zenu; enyi mlio karibu mpeni zawadi Mungu wa kutisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wekeni nadhiri kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, na kuzitimiza; nchi zote za jirani na walete zawadi kwa Yule astahiliye kuogopwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wekeni nadhiri, mkaziondoe Kwa Bwana, Mungu wenu. Wote wanaomzunguka wamletee hedaya, Yeye astahiliye kuogopwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtimizieni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu ahadi zenu; enyi mlio karibu mpeni zawadi Mungu wa kutisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wekeni nadhiri kwa BWANA Mungu wenu na kuzitimiza; nchi zote za jirani na walete zawadi kwa yeye astahiliye kuogopwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wekeni nadhiri kwa bwana Mwenyezi Mungu wenu na kuzitimiza; nchi zote za jirani na walete zawadi kwa Yule astahiliye kuogopwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wekeni nadhiri na mziondoe Kwa BWANA, Mungu wenu. Wote wanaomzunguka wamletee hedaya, Yeye astahiliye kuogopwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtimizieni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu ahadi zenu; enyi mlio karibu mpeni zawadi Mungu wa kutisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkimwapia, mlipeni Bwana Mungu wenu! Wote wakaao na kumzunguka sharti wampelekee matunzo, kwani yeye hutisha, aogopwe sana,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wekeni nadhiri, mkaziondoe Kwa BWANA, Mungu wenu. Wote wanaomzunguka wamletee hedaya, Yeye astahiliye kuogopwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kasirani ya watu inasababisha tu sifa yako; walioponyoka katika vita watafanya sikukuu zako.