Psalms 76:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Makao yake yamo huko Salemu; maskani yake huko Siyoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hema lake liko Salemu, makao yake katika Sayuni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kibanda chake pia kiko Salemu, Na maskani yake iko Sayuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Makao yake yamo huko Salemu; maskani yake huko Siyoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hema lake liko Salemu, makao yake katika Sayuni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hema lake liko Salemu, makao yake katika Sayuni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kibanda chake pia kiko Salemu, Na maskani yake iko Sayuni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Makao yake yamo huko Salemu; maskani yake huko Siyoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kituo chake kiko huko Salemu, nalo Kao lake liko huko Sioni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kibanda chake pia kiko Salemu, Na maskani yake iko Sayuni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu anajulikana katika Yuda; jina lake ni kubwa katika Israeli.