Psalms 76:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huko alivunja mishale ya adui; alivunja ngao, panga na silaha za vita.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huko alivunja mishale iliyowaka, ngao na panga, silaha za vita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huko ndiko alikoivunja mishale ya uta, Ngao, na upanga, na zana za vita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huko alivunja mishale ya adui; alivunja ngao, panga na silaha za vita.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huko alivunja mishale imetametayo, ngao na panga, silaha za vita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huko alivunja mishale imetametayo, ngao na panga, silaha za vita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huko ndiko alikoivunja mishale ya uta, Ngao, upanga, na zana za vita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huko alivunja mishale ya adui; alivunja ngao, panga na silaha za vita.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huko ndiko, alikovunjia mishale ya upindi, hata ngao na panga na mata yo yote ya kupigia vita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huko ndiko alikoivunja mishale ya uta, Ngao, na upanga, na zana za vita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Makao yake ni kule Salemu; nyumba yake ni kule Sayuni.