Psalms 76:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe, ee Mungu, watukuka mno; umejaa fahari kuliko milima ya milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wewe unang’aa kwa mwanga, mwenye fahari zaidi ya milima yenye utajiri wa wanyama pori.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe U mwenye fahari na adhama, Toka milima ya mateka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe, ee Mungu, watukuka mno; umejaa fahari kuliko milima ya milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wewe unang'aa kwa mwanga, mwenye fahari zaidi ya milima yenye utajiri wa wanyama pori.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wewe unang’aa kwa mwanga, mwenye fahari zaidi ya milima yenye utajiri wa wanyama pori.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe U mwenye fahari na adhama, Toka milima ya mateka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe, ee Mungu, watukuka mno; umejaa fahari kuliko milima ya milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa utukufu wako wewe unaogopesha, maana huipita ile milima ya wanyang'anyi kwa kuwa mkubwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe U mwenye fahari na adhama, Toka milima ya mateka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kule alivunja mishale ya waadui; alivunja ngao, panga na silaha za vita.