Psalms 76:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wenye nguvu walipokonywa nyara zao, sasa wamelala usingizi wa kifo, mashujaa wa vita hawakuweza kutumia mikono yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mashujaa hulala wametekwa nyara, hulala usingizi wao wa mwisho; hakuna hata mmoja wa watu wa vita anayeweza kuinua mikono yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wametekwa wenye moyo thabiti; Wamelala usingizi; Wala hawakuiona mikono yao Watu wote walio hodari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wenye nguvu walipokonywa nyara zao, sasa wamelala usingizi wa kifo, mashujaa wa vita hawakuweza kutumia mikono yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mashujaa hulala wametekwa nyara, hulala usingizi wao wa mwisho; hakuna hata mmoja wa watu wa vita anayeweza kuinua mikono yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mashujaa hulala wametekwa nyara, hulala usingizi wao wa mwisho; hakuna hata mmoja wa watu wa vita anayeweza kuinua mikono yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wametekwa wenye moyo thabiti; Wamelala usingizi; Wala hawakuiona mikono yao Watu wote walio hodari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wenye nguvu walipokonywa nyara zao, sasa wamelala usingizi wa kifo, mashujaa wa vita hawakuweza kutumia mikono yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wenye mioyo mikali walitekwa nao, wakalala usingizi kwa kuangushwa wale wenye nguvu wote pia, mikono yao ikawalegea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wametekwa wenye moyo thabiti; Wamelala usingizi; Wala hawakuiona mikono yao Watu wote walio hodari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, wewe unatukuzwa sana; unajaa utukufu kuliko milima ya milele.