Psalms 76:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ulipowakemea, ee Mungu wa Yakobo, farasi na wapandafarasi walikufa ganzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kukemea kwako, Ee Mungu wa Yakobo, farasi na gari la vita vilikaa kimya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kukemea kwako, Ee Mungu wa Yakobo, Gari na farasi wameshikwa na usingizi mzito.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ulipowakemea, ee Mungu wa Yakobo, farasi na wapandafarasi walikufa ganzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kukemea kwako, Ee Mungu wa Yakobo, farasi na gari la vita vilikaa kimya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kukemea kwako, Ee Mungu wa Yakobo, farasi na gari la vita vilikaa kimya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kukemea kwako, Ee Mungu wa Yakobo, Gari na farasi wameshikwa na usingizi mzito.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ulipowakemea, ee Mungu wa Yakobo, farasi na wapandafarasi walikufa ganzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa makaripio yako, Mungu wa Yakobo, waliomo garini waliangushwa, wakazimia roho pamoja na farasi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kukemea kwako, Ee Mungu wa Yakobo, Gari na farasi wameshikwa na usingizi mzito.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wenye nguvu wamenyanganywa, sasa wamelala usingizi wa kifo, washujaa wa vita hawakuweza kutumia mikono yao.