Psalms 76:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe, ee Mungu, ni wa kutisha mno! Nani awezaye kustahimili mbele yako ukikasirika?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wewe peke yako ndiye wa kuogopwa. Ni nani awezaye kusimama mbele yako unapokasirika?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe ndiwe utishaye, naam, Wewe; Naye ni nani awezaye kusimama ufanyapo hasira?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe, ee Mungu, ni wa kutisha mno! Nani awezaye kustahimili mbele yako ukikasirika?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wewe peke yako ndiye wa kuogopwa. Ni nani awezaye kusimama mbele yako wakati umekasirika?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wewe peke yako ndiye wa kuogopwa. Ni nani awezaye kusimama mbele yako unapokasirika?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe ndiwe utishaye, naam, Wewe; Naye ni nani awezaye kusimama ukasirikapo?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe, ee Mungu, ni wa kutisha mno! Nani awezaye kustahimili mbele yako ukikasirika?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe unaogopesha kweli; atakayesimama mbele yako wewe, moto wa makali yako ukitokea, atapatikana wapi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe ndiwe utishaye, naam, Wewe; Naye ni nani awezaye kusimama ufanyapo hasira?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ulipowakaripia, ee Mungu wa Yakobo, farasi na wapanda-farasi walipooza.