Psalms 76:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ulijulisha hukumu yako toka mbinguni; dunia iliogopa na kunyamaza;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ulitamka hukumu kutoka mbinguni, nayo nchi ikaogopa, ikawa kimya:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Toka mbinguni ulitangaza hukumu; Nchi iliogopa, ikakaa kimya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ulijulisha hukumu yako toka mbinguni; dunia iliogopa na kunyamaza;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka mbinguni ulitamka hukumu, nayo nchi ikaogopa ikawa kimya,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka mbinguni ulitamka hukumu, nayo nchi ikaogopa, ikawa kimya:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Toka mbinguni ulitangaza hukumu; Nchi iliogopa, ikakaa kimya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ulijulisha hukumu yako toka mbinguni; dunia iliogopa na kunyamaza;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ulipotangaza maamuzi toka mbinguni, nchi ikashikwa na woga, ikanyamaza kimya;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Toka mbinguni ulitangaza hukumu; Nchi iliogopa, ikakaa kimya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe, ee Mungu, ni wa kutisha sana! Nani anayeweza kusimama mbele yako ukikasirika?