Psalms 76:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakati ulipoinuka kutekeleza hukumu, kuwaokoa wote wanaodhulumiwa duniani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakati wewe, Ee Mungu, ulipoinuka kuhukumu, kuwaokoa wote walioonewa katika nchi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu aliposimama ili kuhukumu Na kuwaokoa wapole wa dunia wote pia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakati ulipoinuka kutekeleza hukumu, kuwaokoa wote wanaodhulumiwa duniani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakati wewe, Ee Mungu, ulipoinuka kuhukumu, kuwaokoa wote walioonewa katika nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakati wewe, Ee Mungu, ulipoinuka kuhukumu, kuwaokoa wote walioonewa katika nchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu aliposimama ili kuhukumu Na kuwaokoa wapole wa dunia wote pia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakati ulipoinuka kutekeleza hukumu, kuwaokoa wote wanaodhulumiwa duniani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, Mungu alipoinuka kuwaamulia watu, apate kuwaokoa wanyonge wote walioko nchini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu aliposimama ili kuhukumu Na kuwaokoa wapole wa dunia wote pia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ulijulisha hukumu yako toka mbinguni. Dunia iliogopa na kunyamaza,