Psalms 77:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji: Mtindo wa Yeduthuni. Zaburi ya Asafu) Namlilia Mungu kwa sauti, kwa sauti namlilia Mungu anisikie.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilimlilia Mungu ili anisaidie, nilimlilia Mungu ili anisikie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimpazie Mungu sauti yangu, Naam, nimpazie Mungu, naye atanisikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Namlilia Mungu kwa sauti, kwa sauti namlilia Mungu anisikie.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Mtindo Wa Yeduthuni. Zaburi Ya Asafu) Nilimlilia Mungu ili anisaidie, nilimlilia Mungu ili anisikie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilimlilia Mungu ili anisaidie, nilimlilia Mungu ili anisikie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimpazie Mungu sauti yangu, Naam, nimpazie Mungu, naye atanisikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Namlilia Mungu kwa sauti, kwa sauti namlilia Mungu anisikie.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa mwimbishaji. Wimbo wa Asafu, aliomtungia Yedutuni. Nimpaliziaye sauti yangu, ndiye Mungu; ninapomwita Mungu, hunisikiliza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimpazie Mungu sauti yangu, Naam, nimpazie Mungu, naye atanisikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji: kwa mutindo wa Yedutuni. Zaburi ya Asafu.