Psalms 77:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha nikasema, “Kinachonichoma zaidi ni kwamba, Mungu Mkuu hatendi tena kitu kwa ajili yetu!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo nikawaza, “Huu ndio udhaifu wangu: lakini nitakumbuka miaka ya mkono wa kuume wa Aliye Juu Sana.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikasema, Ndio udhaifu wangu huo; Lakini nitaikumbuka miaka ya mkono wa kuume wake Aliye juu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha nikasema, “Kinachonichoma zaidi ni kwamba, Mungu Mkuu hatendi tena kitu kwa ajili yetu!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo nikawaza, “Huu ndio udhaifu wangu: lakini nitakumbuka miaka ya mkono wa kuume wa Aliye Juu Sana.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo nikawaza, “Huu ndio udhaifu wangu: lakini nitakumbuka miaka ya mkono wa kuume wa Aliye Juu Sana.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikasema, Ndio udhaifu wangu huo; Lakini nitaikumbuka miaka ya mkono wa kuume wake Aliye Juu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha nikasema, “Kinachonichoma zaidi ni kwamba, Mungu Mkuu hatendi tena kitu kwa ajili yetu!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikasema: Maumivu haya yananipasa, ni miaka ya mkono wake wa kuume yule Alioko huko juu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikasema, Ndio udhaifu wangu huo; Lakini nitaikumbuka miaka ya mkono wa kuume wake Aliye juu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu amesahau kuwa na huruma? Hasira yake imeondoa rehema yake?”