Psalms 77:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitayakumbuka matendo yako, ee Mwenyezi-Mungu, naam, nitayafikiria maajabu yako ya hapo kale.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitayakumbuka matendo ya Mwenyezi Mungu; naam, nitaikumbuka miujiza yako ya zamani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitayakumbuka matendo ya Bwana; Naam, nitayakumbuka maajabu yako ya kale.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitayakumbuka matendo yako, ee Mwenyezi-Mungu, naam, nitayafikiria maajabu yako ya hapo kale.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitayakumbuka matendo ya BWANA; naam, nitaikumbuka miujiza yako ya zamani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitayakumbuka matendo ya bwana; naam, nitaikumbuka miujiza yako ya zamani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitayakumbuka matendo ya BWANA; Naam, nitayakumbuka maajabu yako ya kale.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitayakumbuka matendo yako, ee Mwenyezi-Mungu, naam, nitayafikiria maajabu yako ya hapo kale.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya matendo ya Bwana nitayakumbuka, navyo vioja vyako vya kale nitavikumbuka kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitayakumbuka matendo ya BWANA; Naam, nitayakumbuka maajabu yako ya kale.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha nikasema: “Kinachoniumiza zaidi ni kwamba Mungu Mukubwa hatendi tena kitu kwa ajili yetu!”