Psalms 77:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitatafakari juu ya kazi zako, na kuwaza juu ya matendo yako makuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitazitafakari kazi zako zote na kuyawaza matendo yako makuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pia nitaitafakari kazi yako yote; Nitaziwaza habari za matendo yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitatafakari juu ya kazi zako, na kuwaza juu ya matendo yako makuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitazitafakari kazi zako zote na kuyawaza matendo yako makuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitazitafakari kazi zako zote na kuyawaza matendo yako makuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pia nitaitafakari kazi yako yote; Nitaziwaza habari za matendo yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitatafakari juu ya kazi zako, na kuwaza juu ya matendo yako makuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninayaweka moyoni yote, uliyoyafanya, nipate kuziwaza vema hizo kazi zako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pia nitaitafakari kazi yako yote; Nitaziwaza habari za matendo yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitayakumbuka matendo yako, ee Yawe, nitafikiri juu ya maajabu yako ya hapo kale.