Psalms 77:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila ufanyacho ee Mungu, ni kitakatifu. Ni mungu gani aliye mkuu kama Mungu wetu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, njia zako ni takatifu. Ni mungu yupi aliye mkuu kama Mungu wetu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, njia yako i katika utakatifu; Ni nani aliye mungu mkuu kama Mungu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila ufanyacho ee Mungu, ni kitakatifu. Ni mungu gani aliye mkuu kama Mungu wetu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu, njia zako ni takatifu. Ni mungu yupi aliye mkuu kama Mungu wetu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, njia zako ni takatifu. Ni mungu yupi aliye mkuu kama Mungu wetu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, njia yako iko katika utakatifu; Ni Mungu yupi aliye mkuu kama Mungu wetu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila ufanyacho ee Mungu, ni kitakatifu. Ni mungu gani aliye mkuu kama Mungu wetu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Njia yako, Mungu, ni takatifu; yuko wapi aliye mungu mkuu kama Mungu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, njia yako i katika utakatifu; Ni nani aliye mungu mkuu kama Mungu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninafikiri juu ya kazi zako, ninawaza juu ya matendo yako makubwa.