Psalms 77:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe ni Mungu unayetenda maajabu; wewe umeyaonesha mataifa uwezo wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wewe ndiwe Mungu utendaye miujiza, umeonesha uwezo wako kati ya mataifa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe ndiwe Mungu ufanyaye maajabu; Uliudhihirisha uweza wako kati ya mataifa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe ni Mungu unayetenda maajabu; wewe umeyaonesha mataifa uwezo wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wewe ndiwe Mungu utendaye miujiza, umeonyesha uwezo wako katikati ya mataifa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wewe ndiwe Mungu utendaye miujiza, umeonyesha uwezo wako katikati ya mataifa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe ndiwe Mungu ufanyaye maajabu; Uliudhihirisha uweza wako kati ya mataifa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe ni Mungu unayetenda maajabu; wewe umeyaonesha mataifa uwezo wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe ndiwe Mungu afanyaye vioja, nguvu zako hutambulikana kwa koo za watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe ndiwe Mungu ufanyaye maajabu; Uliudhihirisha uweza wako kati ya mataifa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila unachofanya, ee Mungu, ni kitakatifu. Ni mungu gani anayekuwa mukubwa kama Mungu wetu?