Psalms 77:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa mkono wako wa nguvu uliwakomboa watu wako; uliwakomboa wazawa wa Yakobo na Yosefu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa mkono wako wenye nguvu umewakomboa watu wako, uzao wa Yakobo na Yusufu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa mkono wako umewakomboa watu wako, Wana wa Yakobo na Yusufu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa mkono wako wa nguvu uliwakomboa watu wako; uliwakomboa wazawa wa Yakobo na Yosefu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa mkono wako wenye nguvu umewakomboa watu wako, uzao wa Yakobo na Yosefu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa mkono wako wenye nguvu umewakomboa watu wako, uzao wa Yakobo na Yusufu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa mkono wako umewakomboa watu wako, Wana wa Yakobo na Yusufu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa mkono wako wa nguvu uliwakomboa watu wako; uliwakomboa wazawa wa Yakobo na Yosefu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uliwakomboa kwa mkono wako walio ukoo wako, hawa wana wa Yakobo nao wa Yosefu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa mkono wako umewakomboa watu wako, Wana wa Yakobo na Yusufu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe ni Mungu unayetenda maajabu; wewe umeyaonyesha mataifa uwezo wako.