Psalms 77:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maji yalipokuona, ee Mungu, maji yalipokuona, yaliogopa mno; naam, bahari ilitetemeka hata vilindini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maji yalikuona, Ee Mungu, maji yalikuona yakakimbia, vilindi vilitetemeka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, yale maji yalikuona, Yale maji yalikuona, yakaogopa. Vilindi vya maji navyo vikatetemeka,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maji yalipokuona, ee Mungu, maji yalipokuona, yaliogopa mno; naam, bahari ilitetemeka hata vilindini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maji yalikuona, Ee Mungu, maji yalikuona yakakimbia, vilindi vilitetemeka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maji yalikuona, Ee Mungu, maji yalikuona yakakimbia, vilindi vilitetemeka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, yale maji yalikuona, Yale maji yalikuona, yakaogopa. Vilindi vya maji navyo vikatetemeka,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maji yalipokuona, ee Mungu, maji yalipokuona, yaliogopa mno; naam, bahari ilitetemeka hata vilindini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yalipokuona, Mungu, maji ya bahari, yalipokuona majihayo, ndipo, yalipostuka, vilindi navyo vikatetemeka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, yale maji yalikuona, Yale maji yalikuona, yakaogopa. Vilindi vya maji navyo vikatetemeka,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukono wako wa kuume uliwakomboa watu wako; uliwakomboa wazao wa Yakobo na Yosefu.