Psalms 77:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mawingu yalichuruzika maji, ngurumo zikavuma angani, mishale ya umeme ikaangaza kila upande.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mawingu yalimwaga maji, mbingu zikatoa ngurumo kwa radi; mishale yako ilimetameta huku na huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mawingu yakamwaga maji. Mbingu nazo zikatoa sauti, Mishale yako nayo ikatapakaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mawingu yalichuruzika maji, ngurumo zikavuma angani, mishale ya umeme ikaangaza kila upande.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mawingu yalimwaga maji, mbingu zikatoa ngurumo kwa radi, mishale yako ikametameta huku na huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mawingu yalimwaga maji, mbingu zikatoa ngurumo kwa radi, mishale yako ikametameta huku na huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mawingu yakamwaga maji. Mbingu nazo zikatoa sauti, Mishale yako nayo ikatapakaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mawingu yalichuruzika maji, ngurumo zikavuma angani, mishale ya umeme ikaangaza kila upande.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mawingu yakanyesha mvua yenye maji mengi, mishale yako ikapiga huko na huko, nako mbinguni kukanguruma,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mawingu yakamwaga maji. Mbingu nazo zikatoa sauti, Mishale yako nayo ikatapakaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maji yalipokuona, ee Mungu, maji yalipokuona, yaliogopa sana; bahari ilitetemeka mpaka chini.