Psalms 77:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kishindo cha ngurumo yako kilitokea katika kimbunga, umeme wako ukauangaza ulimwengu; dunia ikatikisika na kutetemeka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ngurumo yako ilisikika katika upepo wa kisulisuli, umeme wako wa radi ukaangaza dunia, nchi ikatetemeka na kutikisika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sauti ya radi yako ikawa katika kisulisuli; Umeme uliuangaza ulimwengu. Nchi ilitetemeka na kutikisika;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kishindo cha ngurumo yako kilitokea katika kimbunga, umeme wako ukauangaza ulimwengu; dunia ikatikisika na kutetemeka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ngurumo yako ilisikika katika upepo wa kisulisuli, umeme wako wa radi ukaangaza dunia, dunia ikatetemeka na kutikisika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ngurumo yako ilisikika katika upepo wa kisulisuli, umeme wako wa radi ukaangaza dunia, nchi ikatetemeka na kutikisika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sauti ya radi yako ikawa katika kisulisuli; Umeme uliuangaza ulimwengu. Nchi ilitetemeka na kutikisika;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kishindo cha ngurumo yako kilitokea katika kimbunga, umeme wako ukauangaza ulimwengu; dunia ikatikisika na kutetemeka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauti za ngurumo zako zikasikilika katika kimbunga, nchini pakamulikwa na umeme, nchi ikatetemeka na kuyumbayumba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sauti ya radi yako ikawa katika kisulisuli; Umeme uliuangaza ulimwengu. Nchi ilitetemeka na kutikisika;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mawingu yalinyesha mvua nyingi, ngurumo zikavuma katika anga, mishale ya umeme ikaangaza kila upande.