Psalms 77:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe uliweka njia yako juu ya bahari; ulitembea juu ya maji yale mengi, lakini nyayo zako hazikuonekana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Njia yako ilipita baharini, mapito yako kwenye maji makuu, ingawa nyayo zako hazikuonekana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Njia yako ilikuwa katika bahari. Na mapito yako yalikuwa katika maji makuu; Hatua zako hazikujulikana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe uliweka njia yako juu ya bahari; ulitembea juu ya maji yale mengi, lakini nyayo zako hazikuonekana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Njia yako ilipita baharini, mapito yako kwenye maji makuu, ingawa nyayo zako hazikuonekana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Njia yako ilipita baharini, mapito yako kwenye maji makuu, ingawa nyayo zako hazikuonekana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Njia yako ilikuwa katika bahari. Na mapito yako yalikuwa katika maji makuu; Hatua zako hazikujulikana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe uliweka njia yako juu ya bahari; ulitembea juu ya maji yale mengi, lakini nyayo zako hazikuonekana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Namo baharini ndimo, njia yako ilimo, nako kwenye maji mengi ukapita, lakini nyayo zako hazikutambulika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Njia yako ilikuwa katika bahari. Na mapito yako yalikuwa katika maji makuu; Hatua zako hazikujulikana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kishindo cha ngurumo yako kilitokea katika zoruba, umeme wako ukaangaza ulimwengu, dunia ikatikisika na kutetemeka.