Psalms 77:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati wa taabu namwomba Bwana; namnyoshea mikono yangu usiku bila kuchoka, lakini sipati faraja yoyote kwa mtu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilipokuwa katika taabu, nilimtafuta Bwana, usiku nilinyoosha mikono bila kuchoka na nafsi yangu ilikataa kufarijika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku ya taabu yangu nalimtafuta Bwana; Mkono wangu ulinyoshwa usiku, haukulegea; Nafsi yangu ilikataa kufarijika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati wa taabu namwomba Bwana; namnyoshea mikono yangu usiku bila kuchoka, lakini sipati faraja yoyote kwa mtu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilipokuwa katika taabu, nilimtafuta Bwana, usiku nilinyosha mikono bila kuchoka na nafsi yangu ilikataa kufarijiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilipokuwa katika taabu, nilimtafuta Bwana, usiku nilinyoosha mikono bila kuchoka na nafsi yangu ilikataa kufarijika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika siku ya taabu yangu nilimtafuta Bwana; Mkono wangu ulinyoshwa usiku, bila kulegea; Nafsi yangu ilikataa kufarijika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati wa taabu namwomba Bwana; namnyoshea mikono yangu usiku bila kuchoka, lakini sipati faraja yoyote kwa mtu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ya kusongeka kwangu nilimtafuta Bwana; mikono yangu ikawa imenyoshwa usiku kucha pasipo kulegea, maana roho yangu ilikataa kutulizwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku ya taabu yangu nalimtafuta Bwana; Mkono wangu ulinyoshwa usiku, haukulegea; Nafsi yangu ilikataa kufarijika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninamulilia Mungu kwa sauti. Kwa sauti ninamulilia Mungu, anisikie.