Psalms 77:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uliwaongoza watu wako kama kondoo, chini ya uongozi wa Mose na Aroni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uliongoza watu wako kama kundi kwa mkono wa Musa na Haruni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uliwaongoza watu wako kama kundi, Kwa mkono wa Musa na Haruni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uliwaongoza watu wako kama kondoo, chini ya uongozi wa Mose na Aroni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uliongoza watu wako kama kundi kwa mkono wa Mose na Aroni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uliongoza watu wako kama kundi kwa mkono wa Musa na Haruni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uliwaongoza watu wako kama kundi, Kwa mkono wa Musa na Haruni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uliwaongoza watu wako kama kondoo, chini ya uongozi wa Mose na Aroni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walio ukoo wako uliwaongoza kama kundi la kondoo kwa mikono yao hawa: Mose naye Haroni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uliwaongoza watu wako kama kundi, Kwa mkono wa Musa na Haruni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe ukajifanyia njia juu ya bahari; ulitembea juu ya maji yale mengi, lakini pahali ulipopita hapakuonekana.