Psalms 77:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ninamfikiria Mungu na kusononeka; ninatafakari na kufa moyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, nilikukumbuka wewe, nikalia kwa huzuni; nikatafakari, roho yangu ikadhoofika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nilipotaka kumkumbuka Mungu nalifadhaika; Nilipotaka kutafakari roho yangu ilizimia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ninamfikiria Mungu na kusononeka; ninatafakari na kufa moyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu, nilikukumbuka wewe, nililia kwa huzuni; nikatafakari, roho yangu ikadhoofika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, nilikukumbuka wewe, nikalia kwa huzuni; nikatafakari, roho yangu ikadhoofika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nilipotaka kumkumbuka Mungu nilifadhaika; Nilipotaka kutafakari roho yangu ilizimia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ninamfikiria Mungu na kusononeka; ninatafakari na kufa moyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikimkumbuka Mungu nampigia kite, roho yangu ikitaka kuzimia, ninayawaza yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nilipotaka kumkumbuka Mungu nalifadhaika; Nilipotaka kutafakari roho yangu ilizimia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati wa taabu ninamutafuta Bwana wetu; ninamunyooshea mikono yangu usiku bila kuchoka, lakini sifarijiwi na mutu yeyote.