Psalms 77:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanizuia hata kupata lepe la usingizi, nina mahangaiko hata kusema siwezi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ulizuia macho yangu kufumba; nilikuwa nasumbuka, nikashindwa kusema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ulizishika kope za macho yangu zisifumbike; Naliona mashaka nisiweze kunena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanizuia hata kupata lepe la usingizi, nina mahangaiko hata kusema siwezi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ulizuia macho yangu kufumba; nilikuwa nasumbuka kiasi cha kushindwa kusema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ulizuia macho yangu kufumba; nilikuwa nasumbuka, nikashindwa kusema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ulizishika kope za macho yangu zisifumbike; Nilitaabika nisiweze kunena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanizuia hata kupata lepe la usingizi, nina mahangaiko hata kusema siwezi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Unayashika macho yangu, yasisinzie; lakini siwezi kusema kwa kuhangaika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ulizishika kope za macho yangu zisifumbike; Naliona mashaka nisiweze kunena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninafikiri juu ya Mungu na kuugua; ninamukumbuka na kufa moyo.