Psalms 77:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nafikiria siku za zamani; nakumbuka miaka ya hapo kale.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilitafakari kuhusu siku zilizopita, miaka mingi iliyopita,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nalifikiri habari za siku za kale, Miaka ya zamani zilizopita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nafikiria siku za zamani; nakumbuka miaka ya hapo kale.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilitafakari juu ya siku zilizopita, miaka mingi iliyopita,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilitafakari juu ya siku zilizopita, miaka mingi iliyopita,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nilifikiri habari za siku za kale, Miaka ya zamani zilizopita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nafikiria siku za zamani; nakumbuka miaka ya hapo kale.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, ninapoyawaza yale mambo ya siku za kale, ndiyo yale ya ile miaka iliyokwisha kupita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nalifikiri habari za siku za kale, Miaka ya zamani zilizopita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unanizuiza hata kupata usingizi, ninahangaika hata siwezi kusema.