Psalms 77:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usiku nawaza na kuwazua moyoni; natafakari na kujiuliza rohoni:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nilikumbuka nilivyoimba nyimbo usiku. Moyo wangu ulitafakari na roho yangu ikauliza:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nakumbuka wimbo wangu usiku, Nawaza moyoni mwangu, Roho yangu ikatafuta.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usiku nawaza na kuwazua moyoni; natafakari na kujiuliza rohoni:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiku nilizikumbuka nyimbo zangu. Moyo wangu ulitafakari na roho yangu ikauliza:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nilikumbuka nilivyoimba nyimbo usiku. Moyo wangu ulitafakari na roho yangu ikauliza:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nanena na moyo wangu usiku, Nawaza moyoni mwangu, Roho yangu naipeleleza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usiku nawaza na kuwazua moyoni; natafakari na kujiuliza rohoni:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usiku nayakumbuka mazeze yangu humu moyoni mwangu, roho yangu ikitafuta njia ya kuyatambua hayo:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nakumbuka wimbo wangu usiku, Nawaza moyoni mwangu, Roho yangu ikatafuta.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninafikiri juu ya siku za zamani; ninakumbuka miaka ya hapo kale.