Psalms 77:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, Mungu amesahau kuwa na huruma? Je, hasira yake imeuondoa upole wake?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, Mungu amesahau kuwa na huruma? Je, katika hasira amezuia fadhili zake?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu amesahau fadhili zake? Amezuia kwa hasira rehema zake?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, Mungu amesahau kuwa na huruma? Je, hasira yake imeuondoa upole wake?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, Mungu amesahau kuwa na huruma? Je, yeye katika hasira yake amezuia huruma yake?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, Mungu amesahau kuwa na huruma? Je, katika hasira amezuia huruma yake?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu amesahau fadhili zake? Amezuia kwa hasira rehema zake?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, Mungu amesahau kuwa na huruma? Je, hasira yake imeuondoa upole wake?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu ameyasahau magawio ya kuwapa watu? Au ameukataza upole wake kwa kukasirikia?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu amesahau fadhili zake? Amezuia kwa hasira rehema zake?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wema wake umekwisha kabisa? Hatatimiza tena ahadi zake?