Psalms 78:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Utenzi wa Asafu) Sikieni mafundisho yangu, enyi watu wangu; yategeeni sikio maneno ya kinywa changu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Enyi watu wangu, sikieni mafundisho yangu, sikilizeni maneno ya kinywa changu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enyi watu wangu, sikilizeni sheria yangu, Tegeni masikio kwa maneno ya kinywa changu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikieni mafundisho yangu, enyi watu wangu; yategeeni sikio maneno ya kinywa changu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Utenzi Wa Asafu) Enyi watu wangu, sikieni mafundisho yangu, sikilizeni maneno ya kinywa changu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Enyi watu wangu, sikieni mafundisho yangu, sikilizeni maneno ya kinywa changu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Enyi watu wangu, sikilizeni sheria yangu, Tegeni masikio kwa maneno ya kinywa changu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikieni mafundisho yangu, enyi watu wangu; yategeeni sikio maneno ya kinywa changu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi mlio ukoo wangu, yasikilizeni mafundisho yangu! Yategeni masikio yenu, msikie, kinywa changu kinavyoyasema!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enyi watu wangu, sikilizeni sheria yangu, Tegeni masikio kwa maneno ya kinywa changu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mashairi ya Asafu. Musikie mafundisho yangu, enyi watu wangu, mutegee sikio maneno ya kinywa changu.