Psalms 78:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alifanya maajabu mbele ya wazee wao, kondeni Soani, nchini Misri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alitenda miujiza machoni mwa baba zao, huko Soani, katika nchi ya Misri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbele ya baba zao alifanya mambo ya ajabu, Katika nchi ya Misri, konde la Soani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alifanya maajabu mbele ya wazee wao, kondeni Soani, nchini Misri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alitenda miujiza machoni mwa baba zao, huko Soani, katika nchi ya Misri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alitenda miujiza machoni mwa baba zao, huko Soani, katika nchi ya Misri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbele ya baba zao alifanya mambo ya ajabu, Katika nchi ya Misri, konde la Soani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alifanya maajabu mbele ya wazee wao, kondeni Soani, nchini Misri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alifanya vioja machoni pao baba zao katika nchi ya Misri shambani kwa Soani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbele ya baba zao alifanya mambo ya ajabu, Katika nchi ya Misri, konde la Soani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alifanya maajabu mbele ya babu zao, katika mbuga za Soani kule Misri.