Psalms 78:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliigawa bahari, akawapitisha humo; aliyafanya maji yasimame kama ukuta.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliigawanya bahari akawapitisha, alifanya maji yasimame imara kama ukuta.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Aliipasua bahari akawavusha; Aliyasimamisha maji mfano wa chungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliigawa bahari, akawapitisha humo; aliyafanya maji yasimame kama ukuta.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliigawanya bahari akawaongoza wakapita, alifanya maji yasimame imara kama ukuta.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliigawanya bahari akawapitisha, alifanya maji yasimame imara kama ukuta.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aliipasua bahari akawavusha; Aliyafanya maji yasimame kama ukuta.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliigawa bahari, akawapitisha humo; aliyafanya maji yasimame kama ukuta.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipasua bahari, akawapitisha mlemle akiyasimamisha maji yake kuwa kama ukingo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Aliipasua bahari akawavusha; Aliyasimamisha maji mfano wa chungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aligawanya bahari, akawapitisha ndani yake; aliyafanya maji yasimame kama ukuta.