Psalms 78:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alibubujisha vijito kutoka mwambani, akatiririsha maji kama mito.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
alitoa vijito kutoka jabali lililochongoka, akayafanya maji yatiririke kama mito.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akatokeza na vijito gengeni, Akatelemsha maji kama mito.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alibubujisha vijito kutoka mwambani, akatiririsha maji kama mito.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
alitoa vijito kutoka kwenye jabali lililochongoka, akayafanya maji yatiririke kama mito.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
alitoa vijito kutoka kwenye jabali lililochongoka, akayafanya maji yatiririke kama mito.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafanya vijito vitokeze katika mwamba, Na kufanya maji yatiririke kama mito.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alibubujisha vijito kutoka mwambani, akatiririsha maji kama mito.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kulikokuwa na miamba tu ndiko, alikotokeza vijito, akavifurikisha maji, yatelemke kama ya mito mikubwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akatokeza na vijito gengeni, Akatelemsha maji kama mito.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitiririsha vijito kutoka katika jiwe, nayo maji kama mito.