Psalms 78:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Binadamu, wakala chakula cha malaika; naye aliwapelekea chakula cha kutosha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu walikula mkate wa malaika, akawatumia chakula chote ambacho wangeweza kula.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwanadamu akala chakula cha mashujaa; Aliwapelekea chakula cha kuwashibisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Binadamu, wakala chakula cha malaika; naye aliwapelekea chakula cha kutosha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu walikula mkate wa malaika, aliwatumia chakula chote ambacho wangeliweza kula.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu walikula mkate wa malaika, akawatumia chakula chote ambacho wangeliweza kula.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwanadamu akala chakula walacho malaika; Akawapelekea chakula cha kuwashibisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Binadamu, wakala chakula cha malaika; naye aliwapelekea chakula cha kutosha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakala kila mtu huo mkate wa malaika; hivyo aliwapelekea pamba za njiani za kushiba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwanadamu akala chakula cha mashujaa; Aliwapelekea chakula cha kuwashibisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanadamu wakakula chakula cha wamalaika; naye aliwapelekea chakula cha kutosha.