Psalms 78:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alivumisha upepo wa mashariki, kwa nguvu yake akachochea pepo za kusini;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliachia upepo wa mashariki kutoka mbingu na kuuongoza upepo wa kusini kwa uwezo wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Aliuelekeza upepo wa mashariki mbinguni; Akaiongoza kusi kwa uweza wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alivumisha upepo wa mashariki, kwa nguvu yake akachochea pepo za kusini;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliachia upepo wa mashariki kutoka kwenye mbingu na kuuongoza upepo wa kusini kwa uwezo wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliachia upepo wa mashariki kutoka kwenye mbingu na kuuongoza upepo wa kusini kwa uwezo wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aliuelekeza upepo wa mashariki kuvuma toka mbinguni; Na kwa uweza wake akauongoza upepo wa kusini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alivumisha upepo wa mashariki, kwa nguvu yake akachochea pepo za kusini;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akatokeza mbinguni upepo wa maawioni kw ajua, akauvuta nao upepo wa kusini kwa nguvu zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Aliuelekeza upepo wa mashariki mbinguni; Akaiongoza kusi kwa uweza wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alivumisha upepo wa mashariki, kwa nguvu yake akachochea upepo wa kusini,