Psalms 78:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akawanyeshea watu wake nyama kama vumbi, ndege wengi kama mchanga wa pwani;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliwanyeshea nyama kama mavumbi, ndege warukao kama mchanga wa pwani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawanyeshea nyama kama mavumbi, Na ndege wenye mbawa, Kama mchanga wa bahari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akawanyeshea watu wake nyama kama vumbi, ndege wengi kama mchanga wa pwani;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliwanyeshea nyama kama mavumbi, ndege warukao kama mchanga wa pwani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliwanyeshea nyama kama mavumbi, ndege warukao kama mchanga wa pwani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawanyeshea nyama kama mavumbi, Na ndege wenye mbawa, Kama mchanga wa bahari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akawanyeshea watu wake nyama kama vumbi, ndege wengi kama mchanga wa pwani;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawanyeshea mvua kama ya mavumbi, ndio nyama wa kula, ni ndege warukao, wengi mno kama mchanga wa ufukoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawanyeshea nyama kama mavumbi, Na ndege wenye mbawa, Kama mchanga wa bahari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akawaangushia watu wake nyama kama vumbi, ndege wengi kama muchanga wa bahari.