Psalms 78:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
hasira ya Mungu iliwaka juu yao; akawaua wenye nguvu miongoni mwao, na kuwaangusha vijana wa Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hasira ya Mungu ikawaka juu yao, akawaua wale waliokuwa na nguvu zaidi miongoni mwao, akiwaangusha vijana wa Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hasira ya Mungu ikapanda juu yao, Akawaua waliokuwa wanono; Akawaangusha chini vijana wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
hasira ya Mungu iliwaka juu yao; akawaua wenye nguvu miongoni mwao, na kuwaangusha vijana wa Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
hasira ya Mungu iliwaka juu yao, akawaua wale waliokuwa na nguvu zaidi miongoni mwao, akiwaangusha vijana wa Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
hasira ya Mungu ikawaka juu yao, akawaua wale waliokuwa na nguvu zaidi miongoni mwao, akiwaangusha vijana wa Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hasira ya Mungu ikapanda juu yao, Akawaua waliokuwa wanono; Akawaangusha chini vijana wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
hasira ya Mungu iliwaka juu yao; akawaua wenye nguvu miongoni mwao, na kuwaangusha vijana wa Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo ndipo, makali ya Mungu yalipomkwea kwa ajili yao, waliokuwa wenye nguvu akawaua, nao vijana wa Isiraeli akawalaza uvumbini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hasira ya Mungu ikapanda juu yao, Akawaua waliokuwa wanono; Akawaangusha chini vijana wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
hasira ya Mungu iliwaka juu yao; akaua wenye nguvu kati yao, na kuwaangusha vijana wa Israeli.