Psalms 78:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, akazikatisha siku zao kama pumzi, miaka yao kwa maafa ya ghafla.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo akamaliza siku zao katika ubatili na miaka yao katika vitisho.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo akazikomesha siku zao kama pumzi, Na miaka yao kwa hofu ya kuwasitusha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, akazikatisha siku zao kama pumzi, miaka yao kwa maafa ya ghafla.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo akamaliza siku zao katika ubatili na miaka yao katika vitisho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo akamaliza siku zao katika ubatili na miaka yao katika vitisho.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo akazikomesha siku zao kama pumzi, Na miaka yao kwa hofu ya kuwastusha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, akazikatisha siku zao kama pumzi, miaka yao kwa maafa ya ghafla.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo alizimaliza siku zao upesi, wakawa kama mvuke, miaka yao ikapita upesi sana, alipowaangamiza kwa mastuko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo akazikomesha siku zao kama pumzi, Na miaka yao kwa hofu ya kuwasitusha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, akatowesha siku zao kama pumzi, miaka yao kwa misiba ya rafla.