Psalms 78:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila alipowaua, waliobaki walimgeukia; walitubu, wakamgeukia Mungu kwa moyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila mara Mungu alipowaua baadhi yao, waliosalia walimtafuta, walimgeukia tena kwa shauku.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alipowaua ndipo walipokuwa wakimtafuta; Wakarudi wakamtaka Mungu kwa bidii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila alipowaua, waliobaki walimgeukia; walitubu, wakamgeukia Mungu kwa moyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila mara Mungu alipowaua baadhi yao, waliosalia walimtafuta, walimgeukia tena kwa shauku.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila mara Mungu alipowaua baadhi yao, waliosalia walimtafuta, walimgeukia tena kwa shauku.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alipowaua ndipo walipokuwa wakimtafuta; Wakarudi wakamtaka Mungu kwa bidii.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila alipowaua, waliobaki walimgeukia; walitubu, wakamgeukia Mungu kwa moyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Napo hapo, alipowaua hivyo, ndipo, walipomtafuta, wakarudi na kumtazamia machana kutwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alipowaua ndipo walipokuwa wakimtafuta; Wakarudi wakamtaka Mungu kwa bidii.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila mara alipowaua, waliobaki walimugeukia; wakageuka toka ubaya wao, wakamugeukia Mungu kwa moyo.