Psalms 78:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hatutawaficha watoto wetu; ila tutakisimulia kizazi kijacho matendo matukufu ya Mwenyezi-Mungu na uwezo wake; tutawaambia maajabu yake aliyotenda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hatutayaficha kwa watoto wao; tutakiambia kizazi kijacho matendo yastahiliyo sifa ya Mwenyezi Mungu, uweza wake, na maajabu aliyoyafanya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hayo hatutawaficha wana wao, Huku tukiwaambia kizazi kingine, Sifa za Bwana, na nguvu zake, Na mambo yake ya ajabu aliyoyafanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hatutawaficha watoto wetu; ila tutakisimulia kizazi kijacho matendo matukufu ya Mwenyezi-Mungu na uwezo wake; tutawaambia maajabu yake aliyotenda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hatutayaficha kwa watoto wao; tutakiambia kizazi kijacho matendo yastahiliyo sifa ya BWANA, uweza wake, na maajabu aliyoyafanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hatutayaficha kwa watoto wao; tutakiambia kizazi kijacho matendo yastahiliyo sifa ya bwana, uweza wake, na maajabu aliyoyafanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hayo hatutawaficha wana wao, Huku tukiwaambia kizazi kingine, Sifa za BWANA, na nguvu zake, Na mambo yake ya ajabu aliyoyafanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hatutawaficha watoto wetu; ila tutakisimulia kizazi kijacho matendo matukufu ya Mwenyezi-Mungu na uwezo wake; tutawaambia maajabu yake aliyotenda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nasi tusiyafiche wana wao, wao wa vizazi vijavyo tuwasimulie mashangilio ya Bwana nayo matendo yake ya nguvu ya kustaajabisha, aliyoyafanya yeye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hayo hatutawaficha wana wao, Huku tukiwaambia kizazi kingine, Sifa za BWANA, na nguvu zake, Na mambo yake ya ajabu aliyoyafanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hatutayaficha kwa watoto wetu lakini tutawaelezea kizazi kinachokuja matendo ya utukufu ya Yawe na uwezo wake; tutawaambia maajabu yake aliyotenda.