Psalms 78:41 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walimjaribu Mungu tena na tena, wakamkasirisha huyo Mtakatifu wa Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walimjaribu Mungu mara kwa mara, wakamkasirisha yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakarudi nyuma wakamjaribu Mungu; Wakampa mpaka Mtakatifu wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walimjaribu Mungu tena na tena, wakamkasirisha huyo Mtakatifu wa Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walimjaribu Mungu mara kwa mara, walimkasirisha yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walimjaribu Mungu mara kwa mara, wakamkasirisha yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamjaribu Mungu tena na tena; Na kumkasirisha Mtakatifu wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walimjaribu Mungu tena na tena, wakamkasirisha huyo Mtakatifu wa Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mara kwa mara walirudi nyuma, wamjaribu Mungu; ndivyo, walivyomsumbua Mtakatifu wa Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakarudi nyuma wakamjaribu Mungu; Wakampa mpaka Mtakatifu wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walimujaribu Mungu tena na tena, wakamukasirikisha huyo Mutakatifu wa Israeli.