Psalms 78:43 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
alipotenda maajabu nchini Misri, na miujiza kondeni Soani!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
siku aliyoonesha ishara zake za ajabu huko Misri, maajabu yake huko Soani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alivyoziweka ishara zake katika Misri, Na miujiza yake katika konde la Soani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
alipotenda maajabu nchini Misri, na miujiza kondeni Soani!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
siku aliyoonyesha ishara zake za ajabu huko Misri, maajabu yake huko Soani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
siku aliyoonyesha ishara zake za ajabu huko Misri, maajabu yake huko Soani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alivyoziweka ishara zake katika Misri, Na miujiza yake katika uwanda wa Soani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
alipotenda maajabu nchini Misri, na miujiza kondeni Soani!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye ndiye aliyevifanya vielekezo vyake katika nchi ya Misri, navyo vioja vyake shambani kwa Soani:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alivyoziweka ishara zake katika Misri, Na miujiza yake katika konde la Soani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
alipotenda maajabu katika inchi ya Misri, na miujiza katika mbuga za Soani!