Psalms 78:44 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliigeuza ile mito kuwa damu, Wamisri wasipate maji ya kunywa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aligeuza mito yao kuwa damu, hawakuweza kunywa maji kutoka vijito vyao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Aligeuza damu mito yao, Na vijito wasipate kunywa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliigeuza ile mito kuwa damu, Wamisri wasipate maji ya kunywa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aligeuza mito yao kuwa damu, hawakuweza kunywa maji kutoka kwenye vijito vyao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aligeuza mito yao kuwa damu, hawakuweza kunywa maji kutoka vijito vyao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aligeuza mito yao kuwa damu, Ili wasipate kunywa maji kutoka vijito vyao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliigeuza ile mito kuwa damu, Wamisri wasipate maji ya kunywa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
maji ya mito yao aliyageuza kuwa damu, wasiweze kuyanywa yale maji yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Aligeuza damu mito yao, Na vijito wasipate kunywa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aligeuza ile mito kuwa damu, Wamisri wasipate maji ya kunywa.