Psalms 78:48 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ngombe wao aliwaua kwa mvua ya mawe, na kondoo wao kwa radi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliwaachia mifugo yao mvua ya mawe, akayapiga makundi ya wanyama wao kwa radi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaacha ng'ombe zao wapigwe kwa mvua ya mawe, Na makundi yao kwa umeme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ng'ombe wao aliwaua kwa mvua ya mawe, na kondoo wao kwa radi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliwaachia mifugo yao mvua ya mawe, akayapiga makundi ya wanyama wao kwa radi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliwaachia mifugo yao mvua ya mawe, akayapiga makundi ya wanyama wao kwa radi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaacha ng'ombe zao wapigwe kwa mvua ya mawe, Na makundi yao kwa umeme.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ngombe wao aliwaua kwa mvua ya mawe, na kondoo wao kwa radi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata ng'ombe wao akawatoa, wapigwe nayo hiyo mvua ya mawe, nao mbuzi wao akawamaliza kwa umeme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaacha ng’ombe zao wapigwe kwa mvua ya mawe, Na makundi yao kwa umeme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ngombe wao aliwaua kwa mvua ya mawe, na kondoo wao kwa radi.