Psalms 78:49 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliacha hasira yake kali iwawakie, ghadhabu, chuki na dhiki, na kundi la malaika waangamizi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliwafungulia hasira yake kali, ghadhabu yake, hasira na uadui, na kundi la malaika wa kuharibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawapelekea ukali wa hasira yake, Ghadhabu, na uchungu, na taabu, Kundi la malaika waletao mabaya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliacha hasira yake kali iwawakie, ghadhabu, chuki na dhiki, na kundi la malaika waangamizi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliwafungulia hasira yake kali, ghadhabu yake, hasira na uadui, na kundi la malaika wa kuharibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliwafungulia hasira yake kali, ghadhabu yake, hasira na uadui, na kundi la malaika wa kuharibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawapelekea ukali wa hasira yake, Ghadhabu, na uchungu, na taabu, Kundi la malaika waletao mabaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliacha hasira yake kali iwawakie, ghadhabu, chuki na dhiki, na kundi la malaika waangamizi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akatuma kwao moto wa makali yake, tena machafuko na machungu na masongano mengine; lilikuwa kundi zima la malaika waliowapelekea mabaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawapelekea ukali wa hasira yake, Ghadhabu, na uchungu, na taabu, Kundi la malaika waletao mabaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alimwanga juu yao hasira yake kali, kasirani, chuki na taabu, na kuwashushia kundi la wamalaika waangamizaji.