Psalms 78:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwapa wazawa wa Yakobo masharti, aliweka sheria katika Israeli, ambayo aliwaamuru wazee wetu wawafundishe watoto wao;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliagiza amri kwa Yakobo na akaweka sheria katika Israeli, ambazo aliwaamuru baba zetu wawafundishe watoto wao,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana alikaza ushuhuda katika Yakobo, Na sheria aliiweka katika Israeli. Aliyowaamuru baba zetu Wawajulishe wana wao,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwapa wazawa wa Yakobo masharti, aliweka sheria katika Israeli, ambayo aliwaamuru wazee wetu wawafundishe watoto wao;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliagiza amri kwa Yakobo na akaweka sheria katika Israeli, ambazo aliwaamuru baba zetu wawafundishe watoto wao,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliagiza amri kwa Yakobo na akaweka sheria katika Israeli, ambazo aliwaamuru baba zetu wawafundishe watoto wao,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana alikaza ushuhuda katika Yakobo, Na sheria aliiweka katika Israeli. Aliyowaamuru baba zetu Wawajulishe wana wao,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliwapa wazawa wa Yakobo masharti, aliweka sheria katika Israeli, ambayo aliwaamuru wazee wetu wawafundishe watoto wao;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alisimika mashuhuda kwao Wayakobo, akaweka maonyo kwao Waisiraeli, akawaagiza baba zetu, wayafundishe, wana wao wayajue,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana alikaza ushuhuda katika Yakobo, Na sheria aliiweka katika Israeli. Aliyowaamuru baba zetu Wawajulishe wana wao,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliwapa wazao wa Yakobo masharti, aliweka sheria katika Israeli ambayo aliwaamuru babu zetu wawafundishe watoto wao;