Psalms 78:50 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliachilia hasira yake iendelee, wala hakuwaepusha na kifo, bali aliwaangamiza kwa tauni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliitengenezea njia hasira yake, hakuwaepusha na kifo, bali aliwaachia tauni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akiifanyizia njia hasira yake; Wala hakuziepusha roho zao na mauti, Bali aliiachia tauni uhai wao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliachilia hasira yake iendelee, wala hakuwaepusha na kifo, bali aliwaangamiza kwa tauni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliitengenezea njia hasira yake, hakuwaepusha na kifo bali aliwaachia tauni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliitengenezea njia hasira yake, hakuwaepusha na kifo, bali aliwaachia tauni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaifanyia njia hasira yake; Wala hakuziepusha roho zao na mauti, Bali aliiachia tauni uhai wao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliachilia hasira yake iendelee, wala hakuwaepusha na kifo, bali aliwaangamiza kwa tauni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akayafungua makali yake, yajiendee tu, hakuzitoa roho zao katika kufa, ila aliwaacha, kipindupindu kiwashike, wajifie.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akiifanyizia njia hasira yake; Wala hakuziepusha roho zao na mauti, Bali aliiachia tauni uhai wao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliachilia hasira yake iendelee, wala hakuwaepusha na kifo, lakini aliwaangamiza kwa ugonjwa mukali.