Psalms 78:51 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwaua wazaliwa wa kwanza wote wa Wamisri; naam, chipukizi wa kwanza kambini mwa Hamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliwapiga wazaliwa wote wa kwanza wa Misri, matunda ya kwanza ya ujana katika mahema ya Hamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akampiga kila mzaliwa wa kwanza wa Misri, Malimbuko ya nguvu katika hema za Hamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwaua wazaliwa wa kwanza wote wa Wamisri; naam, chipukizi wa kwanza kambini mwa Hamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliwapiga wazaliwa wote wa kwanza wa Misri, matunda ya kwanza ya ujana katika mahema ya Hamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliwapiga wazaliwa wote wa kwanza wa Misri, matunda ya kwanza ya ujana katika mahema ya Hamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akampiga kila mzaliwa wa kwanza wa Misri, Malimbuko ya nguvu katika hema za Hamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliwaua wazaliwa wa kwanza wote wa Wamisri; naam, chipukizi wa kwanza kambini mwa Hamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akampiga kila mzaliwa wa kwanza katika nchi ya Misri, wote waliokuwa malimbuko yenye nguvu katika mahema ya Hamu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akampiga kila mzaliwa wa kwanza wa Misri, Malimbuko ya nguvu katika hema za Hamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliwaua wazaliwa wa kwanza wote wa Wamisri; ndilo chipukizi la kwanza katika kambi la Hamu.