Psalms 78:52 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha aliwahamisha watu wake kama kondoo, akawaongoza jangwani kama kundi la mifugo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini aliwatoa watu wake kama kundi, akawaongoza kama kondoo kupitia jangwani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali aliwaongoza watu wake kama kondoo, Akawachunga kama kundi jangwani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha aliwahamisha watu wake kama kondoo, akawaongoza jangwani kama kundi la mifugo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini aliwatoa watu wake kama kundi, aliwaongoza kama kondoo kupitia jangwani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini aliwatoa watu wake kama kundi, akawaongoza kama kondoo kupitia jangwani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akawaongoza watu wake kama kondoo, Akawachunga kama kundi jangwani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha aliwahamisha watu wake kama kondoo, akawaongoza jangwani kama kundi la mifugo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini walio ukoo wake walitoka, akiwachunga kama kondoo, akawaongoza kama kundi la mbuzi huko nyikani,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali aliwaongoza watu wake kama kondoo, Akawachunga kama kundi jangwani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha aliwahamisha watu wake kama kondoo, akawaongoza katika jangwa kama kundi la nyama.