Psalms 78:53 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwaogoza salama, wala hawakuogopa; lakini bahari iliwafunika maadui zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliwaongoza salama, wala hawakuogopa, bali bahari iliwameza adui zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao akawachukua salama wala hawakuogopa, Bali bahari iliwafunikiza adui zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwaogoza salama, wala hawakuogopa; lakini bahari iliwafunika maadui zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliwaongoza salama, wala hawakuogopa, bali bahari iliwameza adui zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliwaongoza salama, wala hawakuogopa, bali bahari iliwameza adui zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao akawachukua salama wala hawakuogopa, Bali bahari iliwafunika adui zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliwaogoza salama, wala hawakuogopa; lakini bahari iliwafunika maadui zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akawasafirisha vizuri, wasishikwe na woga, lakini adui zao bahari iliwafunika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao akawachukua salama wala hawakuogopa, Bali bahari iliwafunikiza adui zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliwaongoza salama, wala hawakuogopa; lakini bahari iliwafunika waadui zao.