Psalms 78:54 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwaleta katika nchi yake takatifu, katika mlima aliouteka kwa nguvu yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo akawaleta hadi kwenye mpaka wa nchi yake takatifu, hadi nchi ya vilima ambayo mkono wake wa kuume ulikuwa umeitwaa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawapeleka hadi mpaka wake mtakatifu, Mlima alioununua kwa mkono wake wa kuume.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwaleta katika nchi yake takatifu, katika mlima aliouteka kwa nguvu yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo akawaleta hadi kwenye mpaka wa nchi yake takatifu, hadi kwenye nchi ya vilima ambayo mkono wake wa kuume ulikuwa umeitwaa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo akawaleta hadi kwenye mpaka wa nchi yake takatifu, hadi nchi ya vilima ambayo mkono wake wa kuume ulikuwa umeitwaa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawapeleka hadi mpaka wake mtakatifu, Mlima alioununua kwa mkono wake wa kulia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliwaleta katika nchi yake takatifu, katika mlima aliouteka kwa nguvu yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawafikisha kwenye mpaka wa Patakatifu pake, penye ule mlima, ambao ulijipatia mkono wake wa kuume.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawapeleka hadi mpaka wake mtakatifu, Mlima alioununua kwa mkono wake wa kuume.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliwaleta katika inchi yake takatifu, katika mulima aliounyanganya kwa nguvu yake.