Psalms 78:56 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata hivyo walimjaribu na kumwasi Mungu Mkuu; wala hawakuzingatia masharti yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini wao walimjaribu Mungu, na kuasi dhidi ya Yeye Aliye Juu Sana, wala hawakuzishika sheria zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini walimjaribu Mungu Aliye juu, wakamwasi, Wala hawakuzishika shuhuda zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata hivyo walimjaribu na kumwasi Mungu Mkuu; wala hawakuzingatia masharti yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wao walimjaribu Mungu na kuasi dhidi ya Yeye Aliye Juu Sana, wala hawakuzishika sheria zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini wao walimjaribu Mungu, na kuasi dhidi ya Yeye Aliye Juu Sana, wala hawakuzishika sheria zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini walimjaribu Mungu Aliye Juu, wakamwasi, Wala hawakuzishika shuhuda zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata hivyo walimjaribu na kumwasi Mungu Mkuu; wala hawakuzingatia masharti yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini walimjaribu Mungu alioko huko juu na kumchokoza, hawakuyashika maagano yake, aliyoyashuhudia,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini walimjaribu Mungu Aliye juu, wakamwasi, Wala hawakuzishika shuhuda zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata hivyo walimupima na kumwasi Mungu Mukubwa; wala hawakushika maagizo yake.